Leo, PSRS wametoa orodha ya Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III C Historia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02/11/2024 hadi 15/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
Bonyeza hapa kudownload orodha ya majina Usaili Mwalimu Daraja la III C Historia