Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye usaili Mwalimu Daraja la III C Kemia, Shule ya Msingi, Elimu Maalumu, Uraia na Kilimo

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3735
    Daad
    Keymaster

    Leo, PSRS Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye usaili Mwalimu Daraja la III C Kemia, Shule ya Msingi, Elimu Maalumu, Uraia na Kilimo. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08/11/2024 hadi 19/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    Bonyeza hapa kudownload pdf ya orodha ya majina usaili Mwalimu Daraja la III C Kemia, Shule ya Msingi, Elimu Maalumu, Uraia na Kilimo

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.