Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3737
    Daad
    Keymaster

    Leo PSRS, wametangaza orodha ya Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-11-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    Kudownload pdf ya majina Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.