Leo, Sekretarieti ya Ajira PSRS imetangaza MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU MZUMBE ULIOFANYIKA TAREHE 17/10/2024
Matangazo mbalimbali ya kazi tembelea channel ya ajira portal hapa ajira times pamoja na ochu forum pia soma zaidi katika makala mbalimbali hapa daad times
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao