Kuitwa Kazini Utumishi Taasisi Mbalimbali 10 Octoba 2024

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3759
    Daad
    Keymaster

    Leo, PSRS Wametangaza orodha ya majina ya walioitwa Kuitwa Kazini Utumishi Taasisi Mbalimbali 10 Octoba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 22-07-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

    Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

    Bonyeza Hapa kudownload orodha ya majina ya walioitwa kazini Utumishi Taasisi mbalimbali

    Matangazo mbalimbali ya kazi tembelea ajira times pamoja na ochu forum pia soma zaidi katika makala mbalimbali hapa daad times

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.