Kuitwa Kwenye Usaili Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi October 2024

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3763
    Daad
    Keymaster

    Leo tarehe 17/10/2024 PSRS wametangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye interview NIC au Kuitwa Kwenye Usaili Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi October 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 21-10-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

    Bonyeza hapa kudownload orodha ya majina Usaili Shirika la Bima la Taifa (NIC)

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.