Majina Walioitwa kazini Kada Za Afya Utumishi leo 18 Octoba 2024

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3773
    Daad
    Keymaster

    Leo, PSRS Imetangaza orodha ya Majina Walioitwa kazini Kada Za Afya Utumishi leo 18 Octoba 2024. kuitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 11-05-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

    Matangazo mbalimbali ya kazi tembelea channel ya ajira portal hapa ajira times pamoja na ochu forum pia soma zaidi katika makala mbalimbali hapa daad times

    Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

    Bonyeza hapa kudownload pdf Orodha ya Majina Walioitwa kazini Kada Za Afya Utumishi

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.