Majina ya Walimu walioitwa kwenye Usaili 2024 MWALIMU DARAJA LA IIIA

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3719
    Daad
    Keymaster

    Leo, PSRS wametangaza orodha ya Majina ya Walimu walioitwa kwenye Usaili 2024 MWALIMU DARAJA LA IIIA. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/10/2024 hadi 16/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    Bonyeza hapa kuona orodha ya walimu wa Daraja la IIIA

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.