Leo PSRS, wametangaza orodha ya Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-11-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Kudownload pdf ya majina Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia