Leo, PSRS Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye usaili Mwalimu Daraja la III C Kemia, Shule ya Msingi, Elimu Maalumu, Uraia na Kilimo. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08/11/2024 hadi 19/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapa kudownload pdf ya orodha ya majina usaili Mwalimu Daraja la III C Kemia, Shule ya Msingi, Elimu Maalumu, Uraia na Kilimo