PSRS Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja III B

Viewing 3 posts - 1 through 3 (of 3 total)
  • Author
    Posts
  • #3723
    Daad
    Keymaster

    Leo, PSRS wametangaza orodha ya Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja III B. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 29/10/2024 hadi 16/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    Bonyeza hapa kudownload orodha ya majina Usaili Mwalimu Daraja III B

    #3743
    Elias
    Participant

    Ol

    #3744
    Elias
    Participant

Viewing 3 posts - 1 through 3 (of 3 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.