Leo PSRS Utumishi wametangaza orodha ya majina ya walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III C Baiolojia, Tehama na Uchumi. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06/11/2024 hadi 18/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapa kupakua PDF ya majina Usaili Mwalimu Daraja la III C Baiolojia, Tehama na Uchumi