PSRS Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III C Kingereza

  • This topic is empty.
Viewing 1 post (of 1 total)
  • Author
    Posts
  • #3731
    Daad
    Keymaster

    Leo, PSRS imetoa list au orodha ya Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III C Kingereza. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 04/11/2024 hadi 16/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

    Bonyeza hapa kudownload orodha ya majina Usaili Mwalimu Daraja la III C Kingereza

Viewing 1 post (of 1 total)
  • You must be logged in to reply to this topic.