Leo Sekretarieti ya Ajira iliyo na jukumu la kutangaza nafasi za kazi pamoja na ajira mpya wametangaza orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi Majina ya Nyongeza MUCE. Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16-10-2024 hadi 17-10-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
[caption id="attachment_3714" align="alignnone" width="640"] [/caption]
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Bonyeza hapa kudownload orodha ya majina Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi
Soma zaidi:
- Majina ya Walimu Walioitwa Kwenye Interview Utumishi 2024 PDF
- Utumishi au Ajira Portal
- Jinsi ya Kuangalia Application Status katika Utumishi Ajira Portal