Daad
-
Daad started the topic Matokeo ya Usaili wa Kuandika Mzumbe leo 18 Octoba 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 1 day, 7 hours ago
Leo, Sekretarieti ya Ajira PSRS imetangaza MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU MZUMBE ULIOFANYIKA TAREHE 17/10/2024
Matangazo mbalimbali ya kazi tembelea channel ya ajira portal hapa ajira times pamoja na ochu forum pia soma zaidi katika makala mbalimbali hapa daad times
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzing…[Read more]
-
Daad started the topic Majina Walioitwa kazini Kada Za Afya Utumishi leo 18 Octoba 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 1 day, 7 hours ago
Leo, PSRS Imetangaza orodha ya Majina Walioitwa kazini Kada Za Afya Utumishi leo 18 Octoba 2024. kuitwa kazini Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 11-05-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama…[Read more]
-
Daad started the topic Nafasi 15 Za Ajira Mpya Kutoka NECTA – Baraza la Mitihani la Tanzania in the forum Ajira & Nafasi za kazi 1 day, 7 hours ago
Leo Sekreatarieti ya Ajira Tanzania imetangaza Nafasi 15 Za Ajira Mpya Kutoka NECTA – Baraza la Mitihani la Tanzania kwa watanzania wote wenye nia na sifa kuweza kujaza hizi nafasi.
Matangazo mbalimbali ya kazi tembelea channel ya ajira portal hapa ajira times pamoja na ochu forum pia soma zaidi katika makala mbalimbali hapa daad times
-
Daad started the topic Nafasi 124 Za Ajira Mpya Kutoka VETA – Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi in the forum Ajira & Nafasi za kazi 1 day, 8 hours ago
Leo Sekreatarieti ya Ajira Tanzania imetangaza Nafasi 124 Za Ajira Mpya Kutoka VETA – Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa watanzania wote wenye nia na sifa kuweza kujaza hizi nafasi.
Matangazo mbalimbali ya kazi tembelea channel ya ajira portal hapa ajira times pamoja na ochu forum pia soma zaidi katika makala mbalimbali hapa daad tim…
-
Daad started the topic Matokeo ya Usaili NECTA – Baraza la Mitihani la Tanzania in the forum Ajira & Nafasi za kazi 1 day, 9 hours ago
LEO, Baraza la Mitihani la Tanzania wametangaza Matokeo ya usaili NECTA wa mchujo kwa nafasi mbalimbali za ajira. Matokeo ya interview.
NECTA ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa sheria mwaka 1973 ikiwa na jukumu la kusimamia mitihani ya kitaifa nchini Tanzania. Kabla ya mwaka 1973 mitihani yote ya kitaifa ilikuwa ikisimamiwa na Sehemu ya…[Read more]
-
Daad started the topic Kuitwa Kwenye Usaili Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi October 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 2 days, 7 hours ago
Leo tarehe 17/10/2024 PSRS wametangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye interview NIC au Kuitwa Kwenye Usaili Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi October 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa…[Read more]
-
Daad started the topic Kuitwa Kazini Utumishi Kada za Afya Octoba 2024 PDF in the forum Ajira & Nafasi za kazi 2 days, 22 hours ago
Leo, PSRS Wametangaza orodha ya majina ya walioitwa Kuitwa Kazini Utumishi Kada za Afya Octoba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama…[Read more]
-
Daad started the topic Kuitwa Kazini Utumishi Taasisi Mbalimbali 10 Octoba 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 2 days, 23 hours ago
Leo, PSRS Wametangaza orodha ya majina ya walioitwa Kuitwa Kazini Utumishi Taasisi Mbalimbali 10 Octoba 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 22-07-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama…[Read more]
-
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
Taja na eleza sheria na sera za elimu
-
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
Taja umuhimu wa kuwashirikisha waalimu katika mabadiliko ya mitaala.
-
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
orodhesha adhabu zinazo weza kutolewa na tume ya mwalimu kwa mwalimu alie kiuka maadili ya kazi ya ualimu
-
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
Nini maana ya jedwali la utahini?
Taja umuhimu wa jedwali la utahini -
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
Majukumu mkuu wa shule.
1. Ni msimamizi mkuu wa taaluma shuleni.
2. Ni msemaji mkuu katika shule husika.
3. Ni msimamizi mkuu na mlezi wa maadili shuleni.
4. Ni kiungo muhimu kati ya jamii na shule husika katika utekelezaji wa masuala yote yahusuyo shule na jamii.
5. Ni msimamizi wa kamati zote za maendeleo ya shule.
Na nyingine atakazopangiwa na…[Read more] -
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
Mchango wa nyerere katika elimu kutokana na falsafa zake.
1. Alisisitiza sana elimu ya ujamaa na kujitegemea.
2. Alisisitiza sana ujifunzaji unaoanzia dhana rahisi kwenda dhana ngumu.
3. Alisisitiza uoanishwaji sana wa nadharia na vitendo sana.
4. Alisisitiza utumiwaji wa njia za ufunishaji zinazoibua udadisi na uvumbuzi wa watoto.
5. Kuhusianisha…[Read more] -
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
1. Ni kipi kati ya vifuatavyo ambacho SIYO sehemu ya mpango mzuri wa somo?
i. Malengo ya kujifunza
ii. Vifaa vya kufundishia
iii. Mpangilio wa viti vya wanafunzi
iv. Njia za tathmini2. Malengo ya kujifunza katika mpango wa somo yanapaswa kuandaliwa vipi?
i. Yakiwa ya jumla na yasiyoeleweka vizuri
ii. Yakiwa maalum,…[Read more] -
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
1. kutaja vipengele vinavyounda andalio la somo.
2. fafanua hatua za andalio la somo.
3. umuhimu wa andalio la somo
4. Vipengele vya azimio la kazi.
5. Tofauti kati ya andalio la somo na azimio la kazi na muhtasari na azimio la kazi
6. Umuhimu wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia
7. Hatua za uandaaji wa zana za kufundishia na kujifunzua
8.…[Read more] -
Daad replied to the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 4 hours ago
Hatari/athari zitakazojitokeza endapo mwalimu akikosa mafunzo Bora ya Ualimu
1 Kutofikia malengo ya somo. Mwalimu endapo kama hukupata mafunzo Bora ya Ualimu itapelekea wakati wa ufundishaji wake atashindwa kutoa maarifa yake kwa uweledi zaidi Ili wanafunzi wapate ujuzi na stadi husika.
2 kushindwa kujiamini wakati wa ufundishaji wake. Hii…[Read more]
-
Daad started the topic Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mzumbe Utumishi 16 October 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 8 hours ago
Leo, Sekretarieti ya Ajira wametangaza orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mzumbe Utumishi 16 October 2024. Makamu Mkuu wa Chuo cha Chuo Kikuu Mzumbe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 17-10-2024 hadi 18-10-2024 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi…[Read more]
-
Daad started the topic Maswali ya Usaili wa Walimu Interview Kada ya Ualimu Ajira za Utumishi (Ajira Portal) 2024 in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 13 hours ago
Maswali Muhimu Katika Usaili kada ya Walimu kwa Ajira za Serikali
Usaili wa walimu kada ya ualimu katika ajira za serikali kupitia Utumishi (Ajira Portal) ni hatua muhimu kwa walimu wanaotafuta nafasi za kazi serikalini. Mchakato huu unajumuisha maswali ya kitaaluma na kiufundi yanayolenga kupima uwezo wa mwalimu katika ufundishaji. Maswali…[Read more] -
Daad started the topic Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia in the forum Ajira & Nafasi za kazi 3 days, 17 hours ago
Leo PSRS, wametangaza orodha ya Utumishi Majina ya Walimu Walioitwa kwenye Usaili Mwalimu Daraja la III B Fizikia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-11-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi…[Read more]
- Load More