Kuitwa Kwenye Usaili Kada za Ualimu 2024 Utumishi PDF
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Rais – Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa orodha ya walimu walioitwa kwenye usaili kwa mwaka 2024 au kuitwa kwenye interview. Orodha hii, ambayo ipo katika mfumo wa PDF, inajumuisha waombaji waliokidhi vigezo vya awali katika mchakato wa ajira kwenye kada za ualimu. Lengo la usaili huu ni kujaza nafasi mbalimbali za ualimu kat... »