Daad
-
Daad started the topic Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili NECTA in the forum Ajira & Nafasi za kazi 1 week, 3 days ago
Leo NECTA wametangaza orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili, Waombaji ambao majina yao hayatakuwepo watambue kuwa hawakukidhi vigezo vilivyoainishwa katika tangazo la kazi.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwataarifu Watumishi wa Umma walioomba nafasi za kuhamia Baraza la Mitihani kwa njia ya usaili kuwa…[Read more]